Video ya Kumuenzi Hayati J.P. Magufuli ya zua utata Location
Umoja wa wasanii wa kitanzania wanaoishi South Africa, Wakifanya kolabo yao kumuenzi aliokuwa Raisi wa jamuhuri ya Tanzania Muheshimiwa JOHH PEMBE JOSEPH MAGUFULI, ikifanyika chini ya Usimamizi wa Director Kazikazi, ndani ya Kazikazi Media & Branding.
Hakuna maoni