Harmonize "Nilipotoka WCB Kila Mtu Alisema Nitakufa Kimuziki Lakini Leo ni Mshindi"
“Usiruhusu mtu akwambie kwamba huwezi, amka na uzifuate ndoto zako. Nitazame mimi, nilipoanza safari yangu ya muziki, kila mmoja alikuwa akinikejeli kwamba nitafanya nini kwenye kiwanda cha muziki? Nikawaambia nitafanya nitakachoweza kufanya.”
“Na nilipotoka kwenye
Label yangu ya zamani (@wcb_wasafi) kila mmoja alikuwa akisema nimeisha,
nitakufa Kimuziki. Nitazame sasa hivi, Mimi ni mshindi. Na Konde Gang
ni Label namba moja Tanzania kwa sasa, Afrika Mashariki na tunaitafuta
Afrika sasa hivi.” - Harmonize
Hakuna maoni