Hukumu ya KESI ya Mwijaku ya Kusambaza Picha za Utupu Mei 31
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga hukumu ya kesi inayomkabili, Mwembe Burton maarufu kama Mwijaku kuwa ni Mei 31, mwaka huu.
Mwijaku anakabiliwa na shtaka la kusambaza picha za utupu kwenye mitandao ya kijamii (Whatsapp) kati ya Septemba 17,2019 hadi Oktoba 2019 Jijini Dar Es Salaam kinyume na sheria za nchi.
Hakuna maoni