Rais Samia amteua Kitenge Katibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua
Hassan Omani Kitenge kuwa Katibu wa Sektretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma.

Hakuna maoni