Aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya amekutwa na hatia, amepewa muda ajitete ili apungiziwe adhabu, ameiomba mahakama imuonee huruma kwani sio yeye bali alikuwa anatekeleza maagizo ya Mamlaka yake ya Uteuzi, na ana mchumba walikuwa wafunge ndoa na mahari ameshalipa.
Hakuna maoni