Ameandika Haya Kupitia Mtandao wake wa Twitter:

"Very disappointing. @SimbaSCTanzania.
Kwakuwa nimejiuzulu, sina nafasi ya kutoa uamuzi wowote Simba. Ninachoweza ni kutoa ni ushauri kwa mwenyekiti na bodi kuchukua hatua kali kwa wale ambao wanawajibika kwa upotevu wa mechi ya leo. Hii haikubaliki" Mo Dewji