CAPTAIN wa Brown F.C. AKIFUNGUKA MAANDALIZI YAKE NA TIMU YAKE DHIDI YA JUMBA F.C kutoka Johannesburg
Msemaji na Team Captain wa BROWN F.C, ndugu SANTANA, Kwa njia ya simu kutokea Pretoria, akizungunzia mchezo wa kesho utakaopigwa Pretoria, tarehe 31-10-2021 siku ya Jmosi, kuanzia saa 9mchana, Dhidi ya JUMBA F.C. Kutokea Johannesburg (turfboys).
KWA KUPATA INTERVIEW YAKE GUSA LINK HAPO CHINI...
https://youtu.be/ZaBvKVJrqpo
Hakuna maoni