Mchezaji wa zamani nchini Uingereza, mwenye asili ya Congo Medi Abalimba, amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi miwili kwa kukutwa na hatia ya kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi milioni 500 kwa watu tofauti. Kati ya pesa hizo,zaidi ya milioni 150 alimtapeli mpenzi wake.
Hakuna maoni