MANARA: Naenda Mahakamani kuwadai fidia Simba FC

"Naenda Mahakamani kuwadai fidia @SimbaSCTanzania wamenitumikisha bila mkataba, na nataka iwe fundisho kwa Taasisi zote zinazoajiri watu na kuwatumikisha bila mikataba" 

@hajismanara

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.