Picha,Christian Bella kafanya kolabo Koffi Olomide,unategemea nini kutoka kwao..


Mwimbaji Christian Bella ameweka wazi kwa mashabiki wake kuwa amefanya collabo na mwimbaji wa muziki wa dance kutoka Kongo Koffi Olomide.
Kupitia Instagram yake aliandika ” Tumemaliza kurecord audio na koffi Olomide, Asante Mungu “.
12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n Bella-akiwa-na-Koffi-Olomide

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.