Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo
ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili
Muhimbili.
Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya
kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta
QUOTATIONS
tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?
Je huyo
supplier
wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili
walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M
huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko
yote hiyo na juzi ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za
manunuzi ya UMMA zilifuatwa ?
Source: By Makombeni10/Jamii Forums
Hakuna maoni