Bond wa Wastara Afanya Maamuzi Magumu, Aomba Radhi, Akata Rasta na Kusema Alikuwa Akiishi Kwenye Kivuli cha Shetani
Mchumba wa Wastara Mr Bond Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:
"Alhamdulillah
Namshukuru mungu kwa kunisimamia kwa hili jambo kwani haikuwa kazi
rahisi kuachana na kila kitu na kuamua kutafuta upya maisha yangu halisi
na yaukweli
Pia nashukuru wote mlioniombea mema katika siku hizi arobaini za kukaa Sober mungu atawalipa kwa dua zenu
Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nilio wakosea kwa nililuwa
siishi maisha yangu halisi bali nilikuwa katika kivuli cha shetani,
hivyo naomba msamaha kwani sote ni binaadamu na hatuja kamilika.
Let us seak for the new bigining In shaa Allah" Bond
Hakuna maoni