
Mhe Zitto Kabwe Hongera kwa kuwaonyesha Watanzania tofauti kati ya ACT
Wazalendo na UKAWA kuanzia tarehe 5/11/15 siku ambayo mgombea Urais wa
ACT alikwenda Diamond Jubilee Hall na kuonyesha ukomavu na uzalendo
tofauti na UKAWA na jana wewe mwenyewe ulipoamua kubaki ndani ya Bunge
kuungana na wabunge wa CCM kusikiliza hotuba ya Mhe Rais. Hukufanya vile
kupingana na UKAWA la hasha! Ulifanya vile kuonyesha kuwa ACT Wazalendo
ni mpinzani mshiriki na siyo mpinzani mkosefu! Aidha kuacha wenzako
wanatoka na ukabaki peke yako ni kitendo cha ukomavu na ujasiri. "
Better him from within than Him from without" (Shakespeare) Wengi tunakupongeza! Membe.
Hakuna maoni