Mfanyabiashara wa kitanzania afunga ndoa kubwa Pretoria Afrika ya kusini
Ndungu Uthamani Shabani, Mfanyabiashara ya Usafirishaji (Transportation) nchini afrika ya kusini, Jumapili ya Leo Tarehe 8 January 2023, Ameamua kuwaaga mabachela, baada ya kuvunja ukimya na kuamua kufunga ndoa na kipenzi cha moyo wake Bi Halima Hassani.
kwa kuwa karibisha ndugu jamaa na marafiki zake kutoka pande zote za South afrika na hata nyumbani Tanzania kuja kushuhudia Ndoa hiyo ya kihistoria na kuweza kujumuika kwenya chakula cha pamoja na kuwa ndio ndoa ya kwanza kufungwa 2023 katika watanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao afrikia ya kusini.
Akitoa shukrani kwa wote walio acha shughuli zao na kujakujumuika nae katika ndoa yake na mke wake huyo. amewashukurusana
Mwenye kiti wa PWEBU (Mh. Salum)
Shebby Baunsa
C.E.O wa Kazikazi Media / SwahiliHost (Emson Mchau)
Na wengineo wote ambao asingeweza kuwataja wote..
Hakuna maoni