Kama timu yako haijashinda goli sita, ni wazururaji- Zakazakazi

“Kama timu yako haijapata ushindi wa mabao sita msimu huu, hiyo siyo timu bali ni kikundi cha wazururaji.”- @zakazakazi
Msemaji wa Klabu ya Azam FC baada ya kuifunga Mbeya City magoli 6-1.
Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita @simbasctanzania iliifunga goli 7-1 Tanzania Prisons.
Unadhani kijembe hiki kinailenga Klabu gani..?
Hakuna maoni