MTANZANIA JUMA NATURE ACHOMWA VISU NA KUPOTEZA MAISHA HAPO HAPO, CAPETOWN, SOUTH AFRICA
Kijana wa kitanzania Kwa Jina Maarufu Juma Nature a.k.a NECHA.
Siku ya Jumamosi amekutwa na umauti baada ya kuchomea visu mara kadhaa na kijana waki rangi-rangimaarufu Kwa Jina la macoloured, Baada ya Kutaka kumpora marehemu Juma Nature na pesa na baadhi ya vitu alivyokuwa navyo na marehemu aliwaletea ubishi kwakua alikuwa anawafahamu kuwa ni vijana wenzake wa mtaani, maeneo ya Mitchel's Plain, Town Center, Market place, Capetown, majira ya saa 12 Jioni, Na KUPOTEZA MAISHA hapo hapo
Hakuna maoni