FIFA Kujadili Uwezekano wa Kubadili Muda wa Kufanyika Kombe la Dunia

Shirikisho la Soka Duniani linaongoza kikao kwa njia ya mtandao kinacholenga kujadili uwezekano wa kipindi cha kufanyika kwa Kombe la Dunia, kubadilishwa kutoka kila baada ya Miaka minne hadi Miaka miwili


Wakuu wa Soka kutoka Nchi 211 wanashiriki katika mkutano huo, utakaoongozwa na Rais wa FIFA, Gianni Infatino


CAF imesema inaunga mkono mabadiliko hayo, lakini Mashirikisho ya Soka Barani Ulaya na Kusini mwa #America, yanapinga yakidai mpango huo utarudisha nyuma maendeleo ya soka na kuathiri Mashindano.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.