Polisi Aua WATU Sita Akiwemo na Mkewe Kisha na Yeye Kujiua


Polisi mmoja eneo la Kabete Jijini Nairobi amewapiga risasi na kuua watu sita na kisha kujiua. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni Mkewe, Majirani na Waendesha Pikipiki waliosogea karibu na nyumba ya Polisi huyo baada ya kusikia mlio wa risasi

Polisi wanasema Benson Imbatu (Polisi aliyejiua) alienda nyumbani akiwa na silaha yake ya AK47 na kuanzisha ugomvi na Mke wake, Carol Imbatu

Tukio hilo limepelekea maandamano katika Barabara ya Thiongo ambapo wakazi wamehoji undani wa tukio hilo

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.