MTANZANIA AFRIKA KUSINI APATWA NA UGONJWA WA AJABU, FAMILIA WADAU ARUDISHWE NYUMBANI KWA MATIBABU, KIONGOZI WA WATANZANIA, AZUNGUMZA


         Hatimae Kiongozi na Mwenyekiti wa watanzania wanaoishi Afrika ya kusini, Mjini  Pretoria West, Kikundi cha Pretoria West Bongo Unit (PWEBU) , Mh. Salum Sulaiman Mtemba,  Ametoe tamko baada ya kuwasiliana na familia ya kijana John Alex Manyanga a.k.a Banza, Mtanzania
aliopata ugonjwa wa usiojulikana baada hakuona vidole vimekakamaa bila kukunja wala kunyooka.
Watanzania mnaombwa michango yenu ya hali na mali, Tumsaidie Mtanzania huyu kurudi
nyumbani Tanzania kwa matibabu zaidi.
FNB Account: 62690614633
MAMPEPA RAMADHANI
MWANA MTEMBA 0733105532

KWA MAELEKEZO ZAIDI FUATILIA KILA KITU KWENYE VIDEO HAPO CHINI....

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.