Sakata la Mkuu wa majeshi lililotikisa Mitandao Mbalimbali hapa nchini
kuhusu afya yake hatimaye Mkuu huyo wa Majeshi amerejea Nchini kutoka
kwenye ziara ya Kikazi nje ya Nchi,Mkuu huyo wa Majeshi hakuoneka
Hadharani kwa Muda mrefu ndipo zikaanza taarifa za kulishwa chakula
chenye Sumu.Taarifa kuhusu kurejuea kwake nimekuwekea hapa
Hakuna maoni