Hatimaye Lowassa Ashindwa Kuhutubia Tunduma..Licha ya Umati wa Wananchi Kufurika


Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.