Dr. Slaa akimbilia tena Marekani, awatakia Watanzania uchaguzi salama

Dr. Slaa hapa karibuni heshima yake ilishuka sana, baada ya kuanza kutumiwa na CCM. Maskini saizi baada ya kuona hana impact tena wameamua kuachana naye jumla na yeye kuamua kurudi Marekani kwa aibu...
Mytake: Hiyo ndio dhambi ya usaliti. Kamwe hawezi kuishi kwa furaha
Source: Raia Tanzania... 16.10.2015
By by Ocampo four
Hakuna maoni