Wakili Mwambukusi Ashtakiwa Kamati ya Maadili ya Mawakili


Wakili Mwambukusi Ashtakiwa Kamati ya Maadili ya Mawakili


Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki Wakili Boniface Mwabukusi kwenye Kamati ya Maadili ya Mawakili kwa kutamka maneno, dhidi ya Spika, Waziri Mkuu n.k., baada ya kuhairishwa kwa kesi inayohusu kupinga Mkataba wa Bandari Julai 3, 2023, maneno hayo yamechukuliwa kuwa kinyume cha maadili ya Mawakili.

-------------------

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.