WATANZANIA WAFUNGA MWAKA 2022, KWA AINA YAKE LEO, PRETORIA WEST BONGO UNIT (PWEBU)
Leo tarehe 16 Dec 2022, Kuanzia saa 7 mchana mpaka 6 jioni, Maeneo ya Pretoria west Denvil Clinic Hall Pransoranje Road, Wameanda mkutano na sherehe ya kufunga mwaka wa 2022, kwa style ya kipeke yenye muono wa kuwa alika watanzania wenzao kujumuika nao katika chama cha hicho chenye misimamo na malengo makubwa kwenye jamii ya watanzania wanaoishi Afrika ya Kusini.
Wote mnakaribishwa kusherehekea na wana PWEBU - Pretoria West Bongo Unit.
Chakula na Vinywaji ni Bure.
Watanzania wote mnakaribishwa kuhudhuria, Tukio lao hilo, bila ya kukosa.
Kwa mawasiliano zaidi: +27 63 957 4499
Nawatakia kila la kheli katika siku hii kuu ya leo Mungu awatangulie wote @umoja ni nguvu🙏 best of luck
JibuFutaMungu awabariki Watanazania Wote
JibuFuta