SODA YA KOPO YA INGIA MITAANI NA KUFANYA MAAJABU KUTOKA KWA STAR WA KISINGELI B.O.B MNYAMA
SODA YA KOPO YA INGIA MITAANI NA KUFANYA MAAJABU KUTOKA KWA STAR WA KISINGELI B.O.B MNYAMA
Msanii mpya na machachari wa kisingeli B.O.B MNYAMA mekuja tena na kuachia chupa lake matata la Soda Ya Kopo inayo sumbua mitaani kwa sasa chini ya DIRECTOR KAZIKAZI, Na kuwaambia mashabiki zake wakae mkao wa kula mambo ndio kwanza ya meanza..
CHECK VIDEO HAPO CHINI....SODA YA KOPO
Hakuna maoni