Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/topstories/CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha
CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha
CEO
wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa
shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu
London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania. Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.
Hakuna maoni